Azimio la Umoja

Logo ya muungano wa kisiasa ulioundwa nchini Kenya.

Azimio la Umoja au One Kenya Coalition Party[1][2][3] ni muungano wa kisiasa ulioanzishwa nchini Kenya mwaka wa 2021 na kuwa chama cha kisiasa kwenye Aprili 2022[4]. Chama hicho kilianzishwa kama farakano katika chama cha Jubilee asilia baada ya rais wa nne wa jamhuri ya Kenya kukosana na naibu wake William Ruto na baadaye kumuunga mkono aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Kenya, Raila Odinga[5][6].

Hii ilitokana na rais wa nne Uhuru Kenyatta kupeana mkono wa amani[7] na Raila Odinga mwaka wa 2018 na baadaye Uhuru kuanza kuwatoa wanaomuunga naibu wa rais William Ruto katika vyeo vya kiserikali.

  1. Ndung’u Gachane. "Raila in Mt Kenya to quell Azimio zoning concerns". The Standard (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-04.
  2. Erastus Mulwa. "Ruto allies accuse Azimio leaders of disrespecting Kalonzo". The Standard (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-04.
  3. https://www.the-star.co.ke/authors/aliwamoses. "Why affiliates parties have been cornered in Azimio deal". The Star (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-05-04. {{cite web}}: External link in |author= (help)
  4. https://nation.africa/kenya/news/politics/boost-for-raila-as-azimio-oka-form-coalition-political-party-3768774 Boost for Raila as Azimio, OKA form coalition political party, tovuti ya Nation 02.04.2022
  5. Njoki Kihiu (2022-03-23). "Raila heaps praise on Karua as she joins Azimio La Umoja » Capital News". Capital News (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-03-26.
  6. Raila's Azimio la Umoja team takes Ruaraka and Mathare constituencies by storm, hits out at DP Ruto, iliwekwa mnamo 2022-03-26
  7. "2018 Kenya handshake", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2022-03-20, iliwekwa mnamo 2022-03-26

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy